Unyakuo Umewadia
Kitabu hiki kinaeleza kwa undani suala la unyakuo. Ukweli ni kwamba unyakuo sio hadithi za mababu wa kale na kweli iliyo katika maandiko ambayo kila mwamini anaitarajia katika kurudi kwa mwana wa Adamu . Jambo la msingi ni kukaa katika mkao wa kimaandalizi huku ukijua katika siku na saa tusiyo dhani mwana wa Adamu yuaja. Katika kipindi hiki kutakuwa na ajali kila mahali,watu kupotea ,watu kupaa angani ,miili ya watakatifu kufufuliwa ,lakini mbaya zaidi kitakuwa na report za kupotea kwa watu wengi saba kwani hawataonekana makwao. Watu wawili watakuwa wakisaga mmjoa atwaliwa mmoja aachwa. Hivyo msisitizo wa kitabu hiki ni kufanya maandalizi ,hasa kuishi maisha matakatifu wakati wote.
Read online + download
You might also like
Reviews
No reviews yet — be the first to read and review this book.